Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
hiyo kweliKuna wengine wanaingia kwenye aina zote. Ni ngumu kumchambua homosapiens mwenzio kwa tabia hizo
hiyo kweliKuna wengine wanaingia kwenye aina zote. Ni ngumu kumchambua homosapiens mwenzio kwa tabia hizo
mwanaume msimamowangu ana sifa hizo zote ila nampenda tu hivyo kwakua nilishaapa nitampenda kwenye shida na raha
Hahaaa no waymwanaume msimamo
Hehehe ungemrekebishaNamba kumi aisee imenigusa.. Na nilishamtema tayari
Wanasema kizuri kula na wa kwakoMi namba 2 ila ni kwenye mume tu, nikiwa na mume ni wangu tu wengine wasimguse
AnafaaMimi wangu anazo zote 1 to 10 sasa sijui anafaa??[emoji8] [emoji8]
Wapi hiyoni kweli mkweli kabisaa mkuu hujakosea
Hiyo kweli lakin ni wachacheKuna wanaofit kwenye zaidi ya tabia 2
Pendanenwangu ana sifa hizo zote ila nampenda tu hivyo kwakua nilishaapa nitampenda kwenye shida na raha
Zitaje jaman[emoji12] [emoji12]Kama mie ninazo kama 6 hivi.....lol
YesTruth u have said..
Mawazo ya nn[emoji19][emoji19][emoji19]... Nawaza kwanza...
Si hizo sifa 11 za wanawake..... Ina maana wanawake hawana mazuri..??..Mawazo ya nn
Si hizo sifa 11 za wanawake..... Ina maana wanawake hawana mazuri..??..Mawazo ya nn
Mi namba 2 ila ni kwenye mume tu, nikiwa na mume ni wangu tu wengine wasimguse
Hebu weka tuirekebisheMi mbona sijioni hapo! Hiyo list haijakamilika bana
Hata wanaume tumewasema mbonaUshirikina
Wizi
Umalaya
Ujuaji mbona hata baadhi ya wanaume pia wana hizo tabia?
Acheni kuwasema sema wanawake jamani hizo ni laana mwanaume mzima unakaa na kumnyambua mwanamke utafikiri we ulijizaa au huna Dada looh!!