Aiisee.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
12742663_1080857195266594_8494678914911474037_n.jpg
 
msipende kudharau nyumbani hako ni kamji kapo huko Russua na mnamo 1971 watafutu wa gesi walichimbua gesi inasemekana udongo ukaporomoka wajashidwa kuendelea hivo gesi iliyovuja wakaamua wakiitia kiberiti itaisha siku hiyo ndio mpaka leo miaka 40 hapajazimika.
Watalii wanapatembelea na serikai inapatunza . kwahiyo Mji huo una gesi chini ya ardhi na ndio inazalisha umeme na kutumia/
door-hell.jpg

Turkmenistan’s aptly named Door to Hell, a 230-foot-wide crater in the middle of the desert near the village of Deweze. In 1971, a team of Soviet scientists set up a drilling platform looking for natural gas reserves. The rig collapsed, and fearing the spread of poisonous methane gas, the researchers set the crater on fire hoping it would burn out in a few hours.
That was more than 40 years ago.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom