Aids.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
hii mpya! eti kirefu cha aids (ukimwi) ni..

A-mericans
I-dea of
D-estroying
S-ex.


ushaipata hii?
 
aids..upungufu wa kinga kwenye mwili.
 
Hiyo ni kutokana na yule mtu wa freemasons kairuki
 
hapa umeaga kwenda kuhani msiba huko kijijini kwetu,
mkeo analalamika kila siku
kumbe leo unakuja na virefu vya maneno,
sasa utakuja huku lini?
 
hapa umeaga kwenda kuhani msiba huko kijijini kwetu,
mkeo analalamika kila siku
kumbe leo unakuja na virefu vya maneno,
sasa utakuja huku lini?

Nimeogopa mama nilivyoona comment yako, sa ivi nipo hapa cha KIA..
Week End Ntaenda tena Marangu afu ntafika hadi pale nyumbani kusalimia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…