masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,892
- 15,116
ni kweli kaka baadhi ya wadada huwa tunakuwa na udhaifu ktk matumizi ya ndom,Kuacha ngono ni nadharia tu cha msingi tuelimishane namna ya kujikinga na ugonjwa huu.Nimegundua akina dada wana udhaifu ktk kusisitiza matumizi ya mipira yaani condoms.
A very honest account.ni kweli kaka baadhi ya wadada huwa tunakuwa na udhaifu ktk matumizi ya ndom,
nakumbuka mi mwenyewe nlipoanza mahusiano mpya miaka 7 iliyopita tulikaa na mpenz kwa muda wa miezi mitatu ndo tukavunja amri ya sita.
nakumbuka hiyo siku tulitokea club tukaenda kwake. kabla ya kuanza ku do nikamwuliza ndom je zpo wapi? akajibu hana huku ananipapasa mtoto wa kike nikaregea na kusahau ndom.
tuli do mara nyingi sana bila ndom wala kwenda kupimaa. mpaka hapo badae tulipo amua kuwa bibi na bwana ndo tukakumbuka kupima.
nlishukuru mungu kwa kuwa wote tulikutwa hatujaathirika na ndo mume wangu mpaka leo hii.
sasa hili swali huwa linajirudia kichwani mwangu, je angekuwa na ni muathirika leo hii nisingekuwepo, na kwanini sikukataa kufanya mapenzi bila ndom nikajikuta nadanganyika kirahisi saana bila ubish hata kdg.
wadada wengi sana wanapojikuta wapo ktk hali yakutaka kukutana kimwili na mwanaume afu afu kukawa hakuna uwezekano wakupata ndom swali huwa"nikipta mimba je? ni wachache sana wanaoulizia je nikipata ukimwi. ama ntakuamini vp.
Jamani wapendwa ukimwi upo tena sana unaweza kukuijia kupitia hata kwa mtu unayemwamini. tuwe waaminifu tukishindwa basi tukumbuke hata dume.
ni kweli kaka baadhi ya wadada huwa tunakuwa na udhaifu ktk matumizi ya ndom,

Ni kweli kabisa mkuu usemayo lakini tusiwalaumu wanadada peke yao.Nashukuru kwa kulikubali hilo, katika kufuatilia nimegundua wanawake wengi wanapenda na kumbe wanaume tunatamani. Kwa hali hiyo basi kupenda kuna element za ujinga yaani kupuuzia mambo ya msingi katika mahusiano (Samahani kwa kusema hivyo). Kuna misemo ya kipumbavu pia eti ukimchunguza sana kuku hutamla na hivyo kuamua kulifumbia jichon suala nyeti kama hili la kujali na kuchukua hatua.
Nawaasa akina dada wabadilike, waachane na athari za mfumo dume kuwa mwanamke hatakiwi kutoa kauli kwenye mahusiano. Tena wanawake wakiamua naamini jamii haitaangamia kiasi hiki, wanaume ni wadhaifu sana kwenye eneo hilo ndio maana wanaacha hata nyumba zao iweje washindwe kutimiza amri ya kutumia ndom!!
Inatisha sana na ni kikumbuka nilivyo wapeteza Ndugu wangu wa karibu kabisa inanimua sana na nimejikuta nikitokwa na Machozi baada ya kuona hizo picha,
Ukimwi unachangia umasikini sana wale Wanaotegemewa wanapo waancha wategemea inakua ni huzi juu ya huzi, very sad