Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,703
- 26,224
Dalili ya msongo wa mawazo.
Rais anayemaliza muda wake wa Chama cha Mawakili Tanganyika(TLS), Wakili Msomi Fatma Karume ameangua kilio alipokuwa akifungua Mkutano wa Mawakili Wasomi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC).
Wakili Msomi Karume alikuwa akitoa ripoti ya majukumu na utekelezaji wa majukumu hayo kwa kipindi chake cha Urais wa TLS. Ripoti hiyo imesheheni mafanikio yake yakiwemo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ndani ya TLS na kusimamia utawala wa sheria kwenye nchi hii.
Wakili Msomi Fatma Karume alimaliza hotuba yake kwa kuangua kilio akiwaambia Mawakili Wasomi kuwa wamempa heshima kubwa na nafasi adimu na adhimu kuwaongoza kama Rais wao kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Katika kuonyesha kuwa amewagusa wahusika,Mawakili Wasomi walisimama kwa heshima huku wakimshangilia Wakili Msomi Fatma Karume. Kimsingi,Wakili Msomi Fatma Karume aliwaaga na kuwashukuru wanachama wote wa TLS.
Uchaguzi wa uongozi mpya wa TLS utafanyika kesho hapa Arusha.
Achana na mambo wakili msomi, unaonekana ni mjinga, hujasoma, hujaelimika, Mshamba flani.
Ila wapo wamesoma USA, UK, hawatumii maneno hayo.
nadhani ni moja ya utambulisho wao nilikua nasoma hukumu za rufaa za kodi nimeona judge anatumia neno kama hiloAchana na mambo wakili msomi, unaonekana ni mjinga, hujasoma, hujaelimika, Mshamba flani.
Ila wapo wamesoma USA, UK, hawatumii maneno hayo.
Duh hawa ndio wanajua sasa maana ya democracy mwaka mmoja wanaachia. Big up kwao
Wewe ni mwanamke, hujawahi kuwa mwanaume. Message zako zako za kijinga tunakuvumilia.Kama wewe ni dume basi punguza wivu wa kike
In God we trust
Tupe taarifa alipoomba kura achaguliwe aliahidi nini na muda wake umeisha ametekeleza nini?
Mambo ya kulialia sidhani kama ni issue kubwa sana kwa great thinkers kujadili.
ACHA KULIA WEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKO MAMII.
Queen Esther
Hongera Sana FK,hakika umewapelekesha NZI wa Kijani.Rais anayemaliza muda wake wa Chama cha Mawakili Tanganyika(TLS), Wakili Msomi Fatma Karume ameangua kilio alipokuwa akifungua Mkutano wa Mawakili Wasomi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC).
Wakili Msomi Karume alikuwa akitoa ripoti ya majukumu na utekelezaji wa majukumu hayo kwa kipindi chake cha Urais wa TLS. Ripoti hiyo imesheheni mafanikio yake yakiwemo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ndani ya TLS na kusimamia utawala wa sheria kwenye nchi hii.
Wakili Msomi Fatma Karume alimaliza hotuba yake kwa kuangua kilio akiwaambia Mawakili Wasomi kuwa wamempa heshima kubwa na nafasi adimu na adhimu kuwaongoza kama Rais wao kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Katika kuonyesha kuwa amewagusa wahusika,Mawakili Wasomi walisimama kwa heshima huku wakimshangilia Wakili Msomi Fatma Karume. Kimsingi,Wakili Msomi Fatma Karume aliwaaga na kuwashukuru wanachama wote wa TLS.
Uchaguzi wa uongozi mpya wa TLS utafanyika kesho hapa Arusha.
Katiba ina mruhusu lakiniDah..anahamu ya kuajast katiba...lakini sema ndiyo hivyo tena
Sent using Beretta ARX 160
Learned brother, counsel, advocate.Kiswahili kina mambo mengi mno hapo mkuu naona wakili msomi na mawakili wasomi nafikiri lugha ya kizungu haina hiyo mtu akiwa wakili moja kwa moja anajulikana ni msomi au Kuna mawakili wasio soma??
Rais anayemaliza muda wake wa Chama cha Mawakili Tanganyika(TLS), Wakili Msomi Fatma Karume ameangua kilio alipokuwa akifungua Mkutano wa Mawakili Wasomi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC).
Wakili Msomi Karume alikuwa akitoa ripoti ya majukumu na utekelezaji wa majukumu hayo kwa kipindi chake cha Urais wa TLS. Ripoti hiyo imesheheni mafanikio yake yakiwemo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ndani ya TLS na kusimamia utawala wa sheria kwenye nchi hii.
Wakili Msomi Fatma Karume alimaliza hotuba yake kwa kuangua kilio akiwaambia Mawakili Wasomi kuwa wamempa heshima kubwa na nafasi adimu na adhimu kuwaongoza kama Rais wao kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Katika kuonyesha kuwa amewagusa wahusika,Mawakili Wasomi walisimama kwa heshima huku wakimshangilia Wakili Msomi Fatma Karume. Kimsingi,Wakili Msomi Fatma Karume aliwaaga na kuwashukuru wanachama wote wa TLS.
Uchaguzi wa uongozi mpya wa TLS utafanyika kesho hapa Arusha.
Ulitaka Khamis nimuite Jumanne?Taarifa yako ni nzuri ila umeandika kishabiki.
Mimi ninacho jua ni kuwa mawakili wote ni wasomi, sasa unaporemba habari hii kwa kusema wakili msomi sijui unataka kutuaminisha nini.
Taarifa yako ni nzuri ila umeandika kishabiki.