AICC, Arusha: Wakili Fatma A. Karume aangua kilio akiwahutubia Mawakili Wasomi

Hii ya wakili msomi mimi sielewi au jamaa ni wa Kagera nini? maana msomi msomi hivi ktk Tz wakili anayesimamia na kutetea kesi anawezakutoka mstuni na kutinga mahakamani. Ona aibu mlelata mada maana umeondoa ata ulichotaka kuleta maana kulia na msomi vyote ni upumbavu. Ndiyo maana Ufipa lazima kutakuwa na tatizo tu.
Sasa alichokifanaya ni nini kwa huo mwaka au kutetea mapenzi ya jinsia moja na kinyume cha maumbile ndiyo kinamliza. Acheni ujinga kizazi chenu kinaondoka tumewavumilia sana imetosha. Pam^"*%)$f.
Watu kama nyie lazima muwepo katika jamii. Unafikiri kwa nini diwani na mbunge ni waheshimiwa?
Mbunge hata kama akiwa darasa la saba utamwita Mh mbunge....wakili kuitwa wasomi ndo sifa yao,hutaki nyamaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shangazi wa Taifa kalia!
Nnavyo jua mimi kulia kuna mambo mawili..
Unalia unapoona utamu na unalia unapoona uchungu..
Sasa shangazi lipi hapo lililomliza?
 
Rais anayemaliza muda wake wa Chama cha Mawakili Tanganyika(TLS), Wakili Msomi Fatma Karume ameangua kilio alipokuwa akifungua Mkutano wa Mawakili Wasomi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC).

Wakili Msomi Karume alikuwa akitoa ripoti ya majukumu na utekelezaji wa majukumu hayo kwa kipindi chake cha Urais wa TLS. Ripoti hiyo imesheheni mafanikio yake yakiwemo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ndani ya TLS na kusimamia utawala wa sheria kwenye nchi hii.

Wakili Msomi Fatma Karume alimaliza hotuba yake kwa kuangua kilio akiwaambia Mawakili Wasomi kuwa wamempa heshima kubwa na nafasi adimu na adhimu kuwaongoza kama Rais wao kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Katika kuonyesha kuwa amewagusa wahusika,Mawakili Wasomi walisimama kwa heshima huku wakimshangilia Wakili Msomi Fatma Karume. Kimsingi,Wakili Msomi Fatma Karume aliwaaga na kuwashukuru wanachama wote wa TLS.

Uchaguzi wa uongozi mpya wa TLS utafanyika kesho hapa Arusha.
Hapo kwenye matumizi, inamana mtangulizi wake ambaye ni TL alikuwa anaipiga sana michango!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa na mpago wa urais wa Jamhuri yetu kwa mwaka mmoja ingekuwa raha sana; hasa nyakati kama hizi zilizopo sasa zinapoonekana kwa mhusika!
 
Rais anayemaliza muda wake wa Chama cha Mawakili Tanganyika(TLS), Wakili Msomi Fatma Karume ameangua kilio alipokuwa akifungua Mkutano wa Mawakili Wasomi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC).

Wakili Msomi Karume alikuwa akitoa ripoti ya majukumu na utekelezaji wa majukumu hayo kwa kipindi chake cha Urais wa TLS. Ripoti hiyo imesheheni mafanikio yake yakiwemo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ndani ya TLS na kusimamia utawala wa sheria kwenye nchi hii.

Wakili Msomi Fatma Karume alimaliza hotuba yake kwa kuangua kilio akiwaambia Mawakili Wasomi kuwa wamempa heshima kubwa na nafasi adimu na adhimu kuwaongoza kama Rais wao kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Katika kuonyesha kuwa amewagusa wahusika,Mawakili Wasomi walisimama kwa heshima huku wakimshangilia Wakili Msomi Fatma Karume. Kimsingi,Wakili Msomi Fatma Karume aliwaaga na kuwashukuru wanachama wote wa TLS.

Uchaguzi wa uongozi mpya wa TLS utafanyika kesho hapa Arusha.
Amelia kwa sababu ya kukosa mume wala si chochote wala si kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe taarifa alipoomba kura achaguliwe aliahidi nini na muda wake umeisha ametekeleza nini?

Mambo ya kulialia sidhani kama ni issue kubwa sana kwa great thinkers kujadili.

ACHA KULIA WEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKO MAMII.

Queen Esther
Hii ingefaa ui-forward kwa ccm vile vile.
 
Achana na mambo wakili msomi, unaonekana ni mjinga, hujasoma, hujaelimika, Mshamba flani.

Ila wapo wamesoma USA, UK, hawatumii maneno hayo.
A layman who doesn't want to enlighten will be a mashall layman.

In law an adult person who doesn't know what he/she is doing and he doesn't know that he/she is doing wrong we call an INSANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom