Chum Kane
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 1,148
- 952
Nakumbuka kipindi nimegraduate nilienda kukaa kwa family friend mmoja hapa jijini baada ya kupata kazi kwenye kampuni moja ya wajerumani si nikaenda kupata keroro kufurahia.
Ile kurudi home nikawa namuona beki 3 kama Wema Sepetu hivi nikaanza force game bidada akachomoa na akaenda kusema kwa mzee wa ile family.
Dah baada ya masanga kukata ndo kuwekwa kikao na yule mzee, it was embarassing kwa jinsi alivokuwa ananiamini, haikushia hapo akamwambia mkewe ambae pia alimwambia mzee wangu.
Nikaona isiwe tabu nikaondoka kwenye ile nyumba kimya kimya na kwenda kukaa na washkaji! Nikukumbuka nakuwa mpole kidogo.
Je, wewe ushawahi kutwa na jambo ambalo somehow unajutia?