Aibu ya Udom hii hapa!!!

Tatizo lenu UDOM mnaendekeza siasa sana....Matawi ya CCM ohh...ubunge CCM nk...au kwakuwa mpo karibu na Chimwaga na kambi za chama cha mafisadi.... Ondoeni hizo itikadi muwe kama UDSM utaona kama hizi aibu za maji, vyoo vichafu na umeme kukatika ovyo vitaendelea kuwepo... Msikubali kuwa Chuo Kikuu cha Mapinduzi
 
Wana udom mnajiaibisha. Mnataka msome kama mpo oxford university au?
Kwani makwenu maji huwa hayakatiki? Umeme je? Acheni hizo. Huna vyombo vya kuhifadhia maji, we na kindoo chako kimoja tu yakikatika unapga kelele.
Mnajifanya kushangaa kwani mlipokuwa boarding xuls haya mambo hayakuwepo?
Acheni mashauzi kutaka mlelewe kama mayai.
 
Wana udom mnajiaibisha. Mnataka msome kama mpo oxford university au?
Kwani makwenu maji huwa hayakatiki? Umeme je? Acheni hizo. Huna vyombo vya kuhifadhia maji, we na kindoo chako kimoja tu yakikatika unapga kelele.
Mnajifanya kushangaa kwani mlipokuwa boarding xuls haya mambo hayakuwepo?
Acheni mashauzi kutaka mlelewe kama mayai.

wameenda kusoma au kusomba maji? basi kila mtu anunue SIMTANK lakuhifadhia maji!
 
Hii niabu kubwa sana sehemeu ambayo wanaandaliwa wataalamu mbali mbali hakuna maji? yani hata pesa serikali inazitumia kusomeshea hao wataalamu ili baadaye waweze kulitumikia taifa hazithaminiwi maana magonjwa kuna magonjwa hatari sana yanayo ambatana na ukosefu wa maji.Wahusika wajitahidi kurekebisha hali hiyo maana si aibu tu ni hasara kwa taifa.
 
Tatizo lenu UDOM mnaendekeza siasa sana....Matawi ya CCM ohh...ubunge CCM nk...au kwakuwa mpo karibu na Chimwaga na kambi za chama cha mafisadi.... Ondoeni hizo itikadi muwe kama UDSM utaona kama hizi aibu za maji, vyoo vichafu na umeme kukatika ovyo vitaendelea kuwepo... Msikubali k



MIMI SIWAONEI HURUMA HATA KIDOGO KWA KUWA SIKU ZOTE MMEKUWA MSTARI WA MBELE KUIFAGILIA CCM NA JK KANA KWAMBA WANAFANYA KAZI NZURI WAKATI HALI HALISI NI TOFAUTI.
UDOM SASA HIVI BAADHI YETU TUNAKIITA NI CHUO CHA KATA AU YEBO YEBO.MNATOA PRODUCT MBOVU AMBAZO KAZI YAKE NI KUJIKOMBA KWA WATAWALA.
ANYWAY ENDELEENI KUFAIDI MATUNDA YA CCM KWANI HAMHITAJI MABADILIKO KAMA WENZENU WA UDSM,MUHAS,SUA,KCMC,BUCHS NK.
 
sikutegemea chuo kipya na kinachojijengea umaarufu kama hiki kikose maji. Hebu tazama, mtu unaenda ****** unakutana na kinyesi cha jana! Mtu kaenda na kikopo cha maji lita moja na baada ya kujisafisha yeye anaondoka.ndiyo, atawezaje ku-flash uchafu kwa maji mengi wakati .......

pole sana mkuu, kama vipi andamana mpaka duwasa!
Bila shaka ni wa ng'ong'ona wewe, unaishi block ipi?
Jifunze maisha hayo coz hata ukipangiwa kufundisha kijijini kusiko na maji utakuwa na ka experience.
 
Huko UDOM tatizo si maji tu, kwa kuwa inafahamika Dodoma yote ina tatizo la maji. Mtoto wa ami yangu yupo huko analalamikia uchafu wa wanafunzi. Vijana wanajisaidi haja kubwa hovyo wengine wanajisaidia hadi sehemu wa kuogea au kunawia mikono. juzi juiz kuna kijana kajisaidia mlangoni kwa wenziwe. Huu ni ustaraabu kweli? Ukiwaona vijana watanashati lakini ovyo kabisa. msomi mzima anaamua kupita dirishani badala ya mlangoni, kisha utasema sirikali mbaya. Wallahi kama ingewezekana hii UDOM tungeihamishia Zanzibar inakera sana kuona majengo mepya kabisa yanachafuliwa kwa uzembe tu. Hao walimu mnataka waje hadi huko vyumbani kusimamia usafi kama skuli ?
 
chuo cha kata, wanafunzi wa kata, maji na huduma lazima ziwe za kata, hivyo sioni ajabu sana.
ila taratibu mkitaka mnaweza mkakibadirisha na kuki-upgrade.mmm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom