Aibu ya nini?

anaogopa paparazi!

huyo simba atakuwa muuza sembe bila shaka!
 
siku moja nyani alichoka kuishi alitafuta njia nyingi za kujiuwa alikosa!alitafakari akaonelea aende kwa simba akamchokoze ili simba achukie amuue na kumla kabisa punde nyani aliona simba dume amepumzika,nyani alitafakari ni nini kitakachoweza kumkera simba kupindukia, nyani aliona bora amchezee makalio yule simba,
NYANI;-nyani akamt... kidole yule simba kwa nguvu
SIMBA;-nani huyo?
NYANI;-ni mimi hapa mzee simba
SIMBA;-kuna yeyote hapo jirani alieona?
NYANI;-hapana mzee simba!
SIMBA;-haya fanya tena hivyo hivyo
NYANI;-Duu!! kumbe simba lenyewe shoga hili! nyani akaondoka zake kwa hasira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…