Je muungano huu ni halali?
Hati hii ni halali?
Sahihi ya nyerere ni halisi?
Sahihi ya karume ni halisi?
Mimi naona wewe ndie umepata aibu ya mwaka maana hata ulichokiandika hakieleweki.
Je muungano huu ni halali?
Hati hii ni halali?
Sahihi ya nyerere ni halisi?
Sahihi ya karume ni halisi?
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu, sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.
Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo, jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati ya muungano.
Lissu na genge lako la wahuni, tafuteni uongo mwingine, maana wa hati ya muungano hauna tena soko.

Unaonekana kutokuwa mwelewa wa kinachotakiwa. Ngoja waiwakilishe hadharani ndipo utakopogundua kwanini ilikuwa inafichwa kiasi hicho. Kumbukumbu kama hizo kama ziko kamilifu hazifichwi bali huwa zinawekwa kwenye jumba maalumu kwa ajili ya watu wote wananchi na wageni kuziona, kulikoni zifichwe kwenye safe?

Hayo maswali atayajibu Lisu wakati akichangia hoja,labda aingie mitini
Unaonekana kutokuwa mwelewa wa kinachotakiwa. Ngoja waiwakilishe hadharani ndipo utakopogundua kwanini ilikuwa inafichwa kiasi hicho. Kumbukumbu kama hizo kama ziko kamilifu hazifichwi bali huwa zinawekwa kwenye jumba maalumu kwa ajili ya watu wote wananchi na wageni kuziona, kulikoni zifichwe kwenye safe?
Cha kwanza cha kujiuliza ni je kama ulikuwa muumhgano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar, leo hii Zanzibar ipo Tanganyika ilienda wapi??? Hiyo hati iliandikwa iwe hivyo?? Je hati hiyo ilitamka kuwa Zanzibar wawe na katiba yao peke yao na Tanzania ya muungano iwe na yake tofauti?
Hebu jitahidi kutafakari zaidi kabla ya kuandika humu Mkuu.
Nimeamngalia ITV leo jinsi Waziri wa Nchi Wasira alivyokuwa anaongea kwa kutamba nikashangaa anchotambia ni nini? kwamba hati ipo? Je anakifahamu kilichopo ndani ya hiyo hati? na kwamba je makubaliano hayo yanatekelezwa kwa dhati na pande zote mbili? Kukosa busara ni kitu kigumu sana.
Asante.
Mkuu tambua kuwa Game ndo kwanza linaanza! Kwanini Serikali ilishindwa kuiweka hadharani miaka yote hiyo? content za hiyo hati zikoje? Kwangu mimi haya yote ni malumbano yasiyokuwa na tija! MUHIMU kwangu ni kuondoa kero zote za Muungano kwa maslahi mapana ya wananchi wa Tanzania... tuwe na serikali 1,2,3 poa tu alimradi Muungano huu hautawakwaza wananchi wa pande moja ya Muungano ....Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.
Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.
Lissu na genge lako la wahuni, tafuteni uongo mwingine, maana wa upotoshaji juu hati ya muungano hauna tena soko.
Lissu hawezi ingia mitini. Alichokifanya ni kutafuta njia ya kumtoa nyoka pangoni ili ampige rungu la kichwa. Kumbuka wajumbe wengi wa CCM walikuwa wanazungumzia misingi ya kuanzishwa muungano ilindwe kulingana na makubaliano ya awali ya waasisi wake. Sasa ndio ( kama hati hiyo ni halali) tutakapo ona kuwa muungano huu uliopo sasa ambao serikali ya Zanzibar imeshajitenga kuwa sio misingi ile ya awali kwa hiyo yale aliyosema Warioba ndiyo yanayopaswa kufanywa sasa katika kuunda katiba mpya.
Nakuhakikishia usione Lissu na wenzie wanacheka ukadhani ni machizi, wameshajua wapi pa kuwapiga bao. Maana sidhani kama hayo yaliyofanyika siku za karibuni yako kwenye hati ya makubaliano ya awali. Tatizo la wale wanaofata msimamo wa Chama na kutukana na kuzomea wanaiga style ya kasuku tuu.
Sent from my iPad using JamiiForums
Du naona umetoka kunywa mbitu na upo hoi, haya bwana wahi lumumba square uchukue buku saba za mbitu ya keshoBaada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.