sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazunguUnaongelea chama wakati nchi yako imekua omba omba kwa miaka 50 tena ikiwa inaongozwa na chama chenu
kwahiyo mnamuiga kikwete ?Uwege unafikiria kabla ya kupost, kikwete alisema mwenyewe kua safari zake za nje anarudi na vijisenti, kwan huko alikua anaenda kulima km si kuomba omba? Mpaka ss bajeti yetu inachangiwa na wahisani kwa kiac kikubwa na yote hii ni kwa sababu yenu.
Ni Kweli Nchi Imeomba Kwa Miaka 55hahaha wakati huo huo nji yako imeomba kwa miaka 55 kabla hujaamua kuweka ujinga wako hadharani jiulize mara 10
Maajabu
Na mm nakuuliza, km nchi tu inaomba, je chama ambacho kiko ndani ya hiyo nchi kikiomba kinachoshangaza nn hapo. Kwa sababu nchi ni kubwa kuliko chamasijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu
- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Ww unaongelea miaka 25, je ninyi mlioanza mwaka 1956 mliacha lini kuomba ili wengine tujifunze?sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu
- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Wewe Una Ujanja Gani Wa Maisha Zaidi Ya Kufanywa Mtumwa Wa Kengeza - Utaandamanishwa Sana Ndio Jukumu LakoHizi ni kejeli za kikekike. Hapa unazungumza chama cha siasa ama nchi? Halafu unakuta mpuuzi kama ww huna ujanja wowote wa maisha zaidi ya ajira na kitendo cha kukosa ajira miezi 6 tu watu wanamgegeda mkeo.
Gamba lingine limetokea shimoni limejaa vumbi tupu. Kachukue buku saba lumumba.Bavicha Wanapita Hapa Kwa Speed Ya Mwanga - Hutawaona Hapa
kwanini ccm iombe kwa miaka yote hii wakati tumeipa dhamana na nchi hii ina utajiri wa kila ainaNi Kweli Nchi Imeomba Kwa Miaka 55
Chadema Imeomba Kwa Miaka 25 - Almost Fisrt Half
- Ikipewa Nchi Itaomba Na Kujikomba Kwa Miaka 3999999999
Na kama nchi tunavyowategemea wazungu au kama tunavyowaita wahisani kwenye bajeti yetu hapo napo utasemaje mkuu?Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote
- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje
- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???