Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,161
- 6,049
Kwakuwa damida amepinduliwa tunamuomba aje uku atusadieNgoja nimpigie simu CAPTAIN TRAORE atume vijana wake maana ujinga umezidi hii nchi.
Pale pale ungemnaza makofi iwe fundisho bila kuwa serious tutaonewa san na hakuna pa kwenda kusemehaTatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.
Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.
Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.
Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
Kuna mzee mmoja Mwembemba hivi wa utumishi miaka 55 hivi sijui ana stress gani, hataki ni jitetee akati nime gharamia. Na sifa zote ni nazo. Mara ohh kwahiyo ni ligi? (Lugha za mtaani). Ondoka hapa! Nika enda muelezea Officer incharge inje. Yeye aka tufuata, kwahiyo kijana hutaki kuridhika? Ligi ume leta huku nje?Pale pale ungemnaza makofi iwe fundisho bila kuwa serious tutaonewa san na hakuna pa kwenda kusemeha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watoto wa viongozi wakiendelea kuula , wakiwemo Riziwan , Nape , mtoto wa Pinda , January , huko kwenye taasisi na mabenki , Tra na kwingineko usiseme !Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali kwa ziara zisizo na kikomo! na wakiendelea kuteua na kuajiri watu waliopaswa kupumzika.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA! View attachment 2373521
Aisee polesanaTatizo la Ajira ni Kubwa sana. Kutatua au kupunguza ni Kurudisha mfumo Mwl. J.K. Nyerere zao la Mkoa na Viwanda vyake.
Pia kuna unemployment inayo sababishwa kwa makusudi na PSRS.
Hakuna Wababaishaji kama UTUMISHI (PSRS). Ohh cheti chako GPA is not Classified!
Yaani ww ni National Recruitment Agency una miaka 40 ya kazi yako. Hujui TOTAL MARKS 68% ya Masters Degree ni GPA ya ngapi? Wakati Key zipo kwenye Cheti? Una kuta mmeitwa interview watu 18. Mna enda 4, nafasi za kazi 5. Ww una enguliwa usifanye interview kwa sababu za hovyo hovyo.
Mara, ohh cheti chako haki oneshi Specialization. Huwezi angalia masomo ya kazi aliyo omba kama yapo? Au mruhusuni mtu afanye interview, then, alete barua ya uthibitisho wa Specialization toka chuoni. Vyeti vina namba za Simu na Email. Ila wako Local sna hata hawataki kutumia communication ku Confirm. Yaani sababu za kijinga jinga tu.
Maana ya Ku specialize ni kubobea katika kitu unacho kifanya kila siku. Yaani SWOT Analysis yote. Una kuwa na Standard zote za Tanzania, EAST AFRICA, WEST AFRICA, ASIA , AMERICA na ULAYA.
Kuita watu kazini tu wanachukua miezi 3 baada ya interview, akati budget ilisha pitishwa ya kazi hizo.
Yaani hawa Utumishi wanakera.
Umesafiri zako toka Kigoma, au Mbeya, Mtwara, nk afu from no-where upo Dar wana kuengua eti your Masters Degree is not CLASSIFIED!! Utadhani wana kulipia Meals, Accommodation na Transport!!
😂Ni kweliKuna mmoja alimjibu nyodo msaka ajira kisha akampiga tarehe ya kurudi ambapo msaka ajira alirudi na box la nyuki akamwagia akafia humo
😂😂😂Watu wamechoka aiseeKwa kuwakumbusha, waziri mmoja wa kazi, vijana na Ajira, Bwana Mitemba, (miaka hiyo) alipigwa ofisini kwake na msaka Ajira.