chotimemba
Member
- Jan 2, 2011
- 14
- 0
sidhani kama hapo kalala ninavyomfahamu bw. huyu ni hodari hachoki hata anapokuwa katika ziara zake za mikoani wasaidizi wake hukoma!!! akiamua kutembelea miradi hata kula chakula huwa hakumbuki isitoshe jamani huyu Rais wetu ni binaadamu kama wewe ambaye unadai siyo rais wako sasa kulala iko mbaya gani siyo malaika huyo jamani....chuki nyingine bw!!!!