Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 747
Mzee mmoja mwenye UMRI kama 50 hivi, anamchapa mwanaye bakora kisa kafeli mtihani.."Mtoto hasara kabisa, mbona Juma kafaulu? Nyie si mna UMRI karibu sawa kabisa???"
Mtoto: Baba hivi wewe na Bhakhresa kwani UMRI wenu si unakaribiana kabisa??
:shock::shock::shock:
Mtoto: Baba hivi wewe na Bhakhresa kwani UMRI wenu si unakaribiana kabisa??
:shock::shock::shock: