Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,794
- 165,533
Kama mleta uzi alimtaja Mbowe na kutoa picha yake wewe unashindwa kutoa hilo jina hapa jf?
Mijimama ya uswahilini utaijua tuNilishawhi kuweka uzi hapa na kutaja jina ila mods waliondoa huo uzi.
Hii habari iliandikwa mpaka kwenye magazeti ila nashindwa kuelewa ni kwanini iliondolewa.
Tangu ile picha ya mh.Mbowe akiwa katika moody ya mahaba na mtu wake itoke kwenye mitandao,kumekuwa na maoni na shutuma nyingi kwa Mbowe mwenyewe na wengine kukihusisha chama na mambo binafsi ya mtu.
Swali langu ni je,kama Mbowe amekosa maadili na hafai kuwa kiongozi,je na yule alietangaza hadharani kuwa aliiba wali alipokuwa kwenye mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa anatufaa kweli?Kama kosa la Mbowe ni kupiga picha ile hadharani huku yeye akiwa kiongozi,je na huyu kutangaza hadharani kua aliiba wali akiwa JKT alikuwa sahihi ukilinganisha na wadhifa aliona katika nchi hii?
CC: dotto rangimto
Mods,nawaomba msitoe wala msiunganishe huu uzi.
Hoja hapa ni wadhifa wake na kujitangaza hadharani kuiba wali!Kwa hiyo mleta mada ulivyovurugwa ndio unahalalisha uzinzi wa hili limbowe na jitidhada za mwanafunzi kujiokoa na njaa?
Kwa hiyo mleta mada ulivyovurugwa ndio unahalalisha uzinzi wa hili limbowe na jitidhada za mwanafunzi kujiokoa na njaa?
Tangu ile picha ya mh.Mbowe akiwa katika moody ya mahaba na mtu wake itoke kwenye mitandao,kumekuwa na maoni na shutuma nyingi kwa Mbowe mwenyewe na wengine kukihusisha chama na mambo binafsi ya mtu.
Swali langu ni je,kama Mbowe amekosa maadili na hafai kuwa kiongozi,je na yule alietangaza hadharani kuwa aliiba wali alipokuwa kwenye mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa anatufaa kweli?Kama kosa la Mbowe ni kupiga picha ile hadharani huku yeye akiwa kiongozi,je na huyu kutangaza hadharani kua aliiba wali akiwa JKT alikuwa sahihi ukilinganisha na wadhifa aliona katika nchi hii?
CC: dotto rangimto
Mods,nawaomba msitoe wala msiunganishe huu uzi.
Weka picha.
Hebu Lizaboni tupia ile picha ya Mbowe akila mate ya mwenzi wake hadharani. Kweli maadili yameporomoka.