Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
NYASI ZA TANZANIA ZINAVYOINUFAISHA AUSTRALIA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania (Saggot), Geoffrey Kirenga amesema kama kuna jambo linaloumiza ni Australia kutumia nyasi kutoka Tanzania kwa ajili ya malisho na kisha kurejesha maziwa na nyama kutuuzia hapa nchini.
Nyasi za Tanzania zinavyoinufaisha Australia