Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,036
Huu uji.n.ga xaxa
Hahahah noma sana...maza akiwa na mimba unakaa maskani utani utakushinda,mm nkiona mtu ana mimba najua anaenda dry chama.
Huu uji.n.ga xaxa
Mkuu inatakiwa watoto wakifika la tano na wewe uache habari za mimba.
Noma sana mkuu ukizaa uzeeni vijana wako unawapa tabu
Utaoaje mapema wakati mifumo ya elimu ina affect?
Au wewe uliishia la saba mkuu?
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.
ahahahahahaaa mwee hata mimi zingepigwa aiseeeeeeeeWana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.
Daah hii hatar sasa
Mmh hata wewe pia unatumia xaxa, haya....Huu uji.n.ga xaxa