Aibu kumwona mama mzazi na mimba??

Status
Not open for further replies.

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,886
1,036
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.
 
Hahahah noma sana...maza akiwa na mimba unakaa maskani utani utakushinda,mm nkiona mtu ana mimba najua anaenda dry chama.
 
dah! Ushauri mingine banah....lakin poa tutaoa na kuzaa mapema
 
Utaoaje mapema wakati mifumo ya elimu ina affect?
Au wewe uliishia la saba mkuu?
 
Mkuu labda ww umeanza shule ngumbalu ila kama ulianza la kwanza miaka 7 na umeenda bila kurudia madarasa unazaa wakat muafaka
 
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.

Hivi wewe una umri gani? Mbona thread zako nyingi ni za kipuuzi. Acha utoto. JF ina hadhi kubwa, hivi vi ujinga vyako peleka FB.
 
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.
ahahahahahaaa mwee hata mimi zingepigwa aiseeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom