Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,036
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto wanapokuwa bado wadogo sio mtu yuko form six huku mama yake bado anapigwa mimba,madhara yake ndio haya sasa.