kweli ujinga ni mzigo,mleta mada anaweza sema cku moja ili tupime uchumi wetu lazima tuwaulize kina MENGI,BAHALESA,MANJI,GACHUMA wana shilingi ngapi,lkn uchui haupimwi kwa mwananchi mwenye pesa wala mijini,bali kwa mafukala masikini,hasa wa vijijini,na ndio kipimo cha chama makini hakiendi kuelimisha wale walio elewa bali wachache wanaotaka kuelewa,hata YESU hakuja kwa watu wema bali wenye dhambi,naamini umenielewa