Aibu! Hivi ndivyo Tanzania inavyoonekana mbele ya jumuia ya kimataifa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,061
Reaction score
136,424
Chawa drama 🤣.

Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali.

Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu.

Ila siwalaumu sana CCM.

Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’.

CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves.


View: https://youtu.be/7ViVjGgphrI?si=d2cTmNWT1_tWp2dc
 
Kwa kuwa tulikubali kufuga chawa na kuukumbatia uchawa,tuyakubali na mavuno yake,vinginevyo tuyakatae yote na tuutafute mwanzo mpya yenye manufaa kwa taifa na sii kwa wahuni!
 
Hahahaha aisee nimecheka sana

Kwa hiyo kina Mwijaku kumbe hadi kimataifa wanajulikana kama machawa. Eti Chawacracy
 
Put your record straight. In Tanzania, we have chawacracy and devilcracy. It is not a shame. This is what it exactly is. It is what it is. Samia is but a liability surrounded by criminals and devils.
 
Halafu kumbe ni watangazaji wa Crown, nimemuona hapo Luvanga na Geaf

Wamekuwa huru kutoa maoni kwasababu wameyatoa katika maudhui ya kiingereza, Chawa wengi hii imewapita vinginevyo wangewa snitch kwa Mafwele.
 
Yaani Nani Ngabu unatengeneza maudhui haya, nywila ukinipatia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…