Aibu, Hii kitu inapatikana Arusha tu

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,025
Na maisha yanasonga kama kawa...near A to Z....

2vb8m1c.jpg
 
Mkuu Sizinga nadhani kuna zoezi la kubadilisha nguzo linaendelea, Maana kuna jamaa yangu kule arusha aliniambia wanakosa umeme kwa ajili ya zoezi hilo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Sizinga nadhani kuna zoezi la kubadilisha nguzo linaendelea, Maana kuna jamaa yangu kule arusha aliniambia wanakosa umeme kwa ajili ya zoezi hilo.

Kuenda manake hizi wiki nzima bila kubadilishwa.
 
Nyie kila kitu arusha mnasingizia maandamano na lema,ina maana watu wote walioko arusha ni chadema?acheni ujinga na watu wanapojua haki zao za msingi sio maandamano wala chama fulani.watu wameamka na tunataka maendeleo sio siasa an kusingizia ujinga abao hauna mantiki.
 
Wewe huwezi kuwa GT acha kuropoka hovyo, mimi sifanyi kazi na Shirika la umeme na siwezi kutumwa kuwaambia watu Tanesco wanabadilisha nguzo, na kwa taarifa yako niliambiwa walitangaza pia kwenye radio za Arusha. Kama wewe ni unaishi Arusha naamini unatambua kukatika kwa umeme kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 1 au saa 2 usiku kwa baadhi ya maeneo. Labda tumuulize Sizinga picha ni za mitaa gani
Porojo hizo naona wamekutumaa sasa!
 
Back
Top Bottom