Aibu hii huyu mume ataiweka wapi?

Aibu hii huyu mume ataiweka wapi?

Jamaa alikosea palepale alipogundua yule ni mkewe! Angemwambia nilijua tu upo huku ndio maana nikakufata. Mwanaume kama mwanaume hutakiwi kukubali hata kama umeshikwa upo juu ya kiuno cha dada. Ukikubali kosa ndipo matatizo yatakapoa anza. Wanawake hawapendi kuambiwa ukweli hata kama ameona live kwa macho yake
 
Mahousgel nao mhmmhmhmhmh

Cc Smart911

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
 
Japo hii ni Shigongo style, ila Mama alitumia busara ya hali ya juu sana. Walio wengi wangemtimua huyo HG haraka sana maana kuepuka competition iliyoibuka. A good lesson kwa wamama (na wababa?) wote.

Joseverest akitia mguu tu, mimi ntatoka hapa. I am out of my comfort zone🙂
Naona anajifunza kuandika Hadith. Ahahahahahhaahha

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Penzi lisiloisha hamu ni lile ambalo utu wa ndani ndio unaongoza utu wa nje. Mapenzi ambayo utu wa nje unaongoza utu wa ndani katu hayawezi kudumu
ebu fafanua kidogo ndugu plz

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom