Aibu hii huyu mume ataiweka wapi?

Aibu hii huyu mume ataiweka wapi?

Huyo msichana ana hekima hata aliyemwoa kapata mke bora.
Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake. Huyo mama ataona uzee wa ndoa yake kama alivyomtaja Ibrahim
Fact,ingekua mm namwoa tena!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ila asilimia kubwa ya hivi visichana vya kazi havisemi aisee..yaani anakula mtoto,baba,jirani...yaani muda wako tu..Mungu atuepushe..
 
Japo hii ni Shigongo style, ila Mama alitumia busara ya hali ya juu sana. Walio wengi wangemtimua huyo HG haraka sana maana kuepuka competition iliyoibuka. A good lesson kwa wamama (na wababa?) wote.

Joseverest akitia mguu tu, mimi ntatoka hapa. I am out of my comfort zone🙂
Joseverest siku hizi anapwaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom