Aibu: CCM yazidi kumuaibisha Magufuli

Aibu: CCM yazidi kumuaibisha Magufuli

aisee hata kama n mahaba haya yamezidi... Ndio maana wagombea wenu wakangukia pua mnaona bora mziache familia zenu zikifa njaa muende kuandamana...

Mnataka kuniambia wanaotoka chadema na kujiunga ccm ni feki ila wanaotoka ccm kujiunga chadema ndio kweli?

Msema kweli yupo tuonane oct
 
Una asili ya ubishi au unajifunza? Huoni wenzako wenye busara zao wamenyamaza. Umeshawasikia?? Jifunze toka kwao.
 
Kazi iliyokuwa inamfaa ni kusimamia ujenzi wa madaraja, si zaidi ya hapo. Anyway ajaribu tena 2025.
Mkuu Musa Allan nimekuwa nikikufuatilia sana na hoja zako humu JF. Ila leo nimechanganywa sana na comment yako. Hiv wewe c ndo ccm damdam? Nifafanulie hiyo comment tafadhali mkuu
 
maskini kaka magufuli yeye siajabu hajui km wanamzuga
 
aisee hata kama n mahaba haya yamezidi... Ndio maana wagombea wenu wakangukia pua mnaona bora mziache familia zenu zikifa njaa muende kuandamana...

Mnataka kuniambia wanaotoka chadema na kujiunga ccm ni feki ila wanaotoka ccm kujiunga chadema ndio kweli?
Msema kweli yupo tuonane oct
mkuu hiki ni kipindi kigumu,sishangai mkijitoa akili,hz kadi hazina jina wala picha unaleta upuuzi tu
 
Aibu hii itamtesa sana huyu jamaa ameonekana akipokea kadi hewa toka kwa wafuasi wa kutengenezwa wa chadema watu ambao wameonekana wakirulidisha kadi ambazo hazina picha hii ni aibu na mshangao mkubwa kwa kuwaandaa watu na kujifanya wanarudisha kadi kumbe ni uongo

Picha zitafuata.....
attachment.php
Hiyo maana yake ni kuwa waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi.

Hiyo pia inatupa picha kuwa waliozoea vya haramu vya halali hawaviwezi.

Nahitimisha kwa kusema kuwa hiyo ndiyo tafsiri halisi ya lile goli la mkono la Nape.
 
Mkuu Musa Allan nimekuwa nikikufuatilia sana na hoja zako humu JF. Ila leo nimechanganywa sana na comment yako. Hiv wewe c ndo ccm damdam? Nifafanulie hiyo comment tafadhali mkuu

Hapo awali alikuwa ni #TeamLowasa ...! Jamaa alivyo hamia nyumba ya jirani, naye kaama naye!
 
Upepo ulivyobadilika hivi kuna haja ya kumwongelea magufuli kweli! Tuko mbali mno kwa sasa, Magufuli kaachwa mbali mno mwacheni tu apumuzike.
 
Magufuli ajipange kwa hoja kwenye huu uchaguzi. Akizembea goli la mkono litaishia bafuni kweli.
 
Hivi hapo anakabidhiwa kadi kama waziri wa ujenzi? Au kama nani? Huku sio kuanza kampeni mapema?
 
Una asili ya ubishi au unajifunza? Huoni wenzako wenye busara zao wamenyamaza. Umeshawasikia?? Jifunze toka kwao.

nina mashaka na akili yako.
Familia yako imepata hasara kubwa sana
 
Back
Top Bottom