AI inatumika sana kwenye vita hivi

mtetezi12

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
23
Reaction score
116
Kwenye hii vita kumejaa sana video za AI na picha za AI

Unakuta kabisa mtu anakutumia video au picha ya ndani ya israel eti bomb limepiga hapa wakati kwasasa kwa muujibu wa taarifa wananchi wote wamekimbilia shelters yeye hizo picha kazitoa wapi ? Jamani mtatuua na AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…