Mimi nadhani tufikiri bila ya uwepo wa box, tufikiri kama ulimwengu "cosmic intelligence". Box linaweza kuwa rejeo tukajikuta tunarudi kwenye box tena....tuondondoe box kabisa halafu tuanze kufikiri, au vipi?
Ukiwa na mashine nzuri unaweza kuzi host local. Mfano hapa mimi nina macbook pro m3 max nimehost kadhaa na kuzifanyia majaribio View attachment 3676370