Ndo ninachosema past vs future, developer wa kuandika code anayeyuka duniani, code zaidi na zaidi inaandikwa na ai agent, bado usimamizi ni muhimu ila hilo nalo linaanza kupotea. Mwisho wa siku tunaelekea ambapo kuandika code kwa mkono itakuwa kama hoby ya kihistoria na kujifurahisha kama Gandhi alivyokuwa anasuka nguo mwenyewe.Sina uhakika kama wewe ni developer.
Ila kwa sisi old school developers nahitaji text editor tu na local server for local development.
Sijaiona AI kuwa kikwazo. Zaidi zaidi kwa msaada wa AI ndio kabisaaa, software ambayo ningeandika kwa miezi 3 naiandika kwa week tu
Ai imekua msaada kwa developer kazi ya kutumia miezii miwili inasaidia kutumia wiki moja hivyo inategemea wee unaitumiaje ila Ai ni msaada kwa Developer ✌️Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na mbadala wa bure.
Ingawa kulikuwa na tofauti kubwa kwa upande wa access ya funding na soko kama unataka kutengeneza product za kuuza.
Sass ujio wa AI kwenye software development unaleta tabaka lingine, subscription ya model zinazoongoza duniani yaani za OpenAI, Anthropic etc ni kama $100-$200 kwa mwezi! Tena hii ni bei bandia ambayo wanaitumia kukamata soko "subsidized pricing" ambayo iko chini ya gharama yake, mwishoni itabidi zipande.
Bei hii ni kubwa kwa wengi hata huko Marekani kama wewe hautengenezi hela kwa kutumia AI au ni mtoto, mwanafunzi ni vigumu kulipa $200 kwa mwezi. Huku kwetu ndo kabisa hata $100 ni bei ngumu sana kumudu.
Hii inaleta tatizo jipya kwamba kuna uwezekano mkubwa ni wale wenye $$$ tu wataweza kuwa developers kwenda mbele, hakuna kinachokuzuia kuandika software bila AI ila kiushindani itakuwa vigumu sana.
Kwa hiyo ni muhimu sana kwetu model za Open Weights hasa hizi za Kichina, DeepSeek, Qwen etc ziendelee kupatikana na kuboreshwa, hizi kwanza ni nafuu zaidi pili zinaruhusu kutumika locally kwenye machine yako bila kulipa chochote, kuna tatizo la gharama za hardware hapo ambalo halikwepiki kwa sasa.
Ai imekua msaada kwa developer kazi ya kutumia miezii miwili inasaidia kutumia wiki moja hivyo inategemea wee unaitumiaje ila Ai ni msaada kwa Developer ✌️
Msaada ambao una bei kubwa na unaweza kuwatenga watu kutokana na uwezo wao wa kulipa.Ai imekua msaada kwa developer kazi ya kutumia miezii miwili inasaidia kutumia wiki moja hivyo inategemea wee unaitumiaje ila Ai ni msaada kwa Developer ✌️
Msaada ambao una bei kubwa na unaweza kuwatenga watu kutokana na uwezo wao wa kulipa.
Ndo hapo tatizo, wa kukode kwa mkono watakuwa kwenye disadvantage kama hao wakulima wa jembe wengi ni maskini wa kutupa.
View: https://www.youtube.com/shorts/Hl1zrP_oCPU
wengine wataendelea kucode native tu mkuu,
kwenye kilimo huko watu bado wanapiga jembe la mkono, ng'ombe wakienda mbali powertiller --- wakati huohuo watu wanapush trekta nzito nzito, na hata huko kulikoendelea john deere na wenzao wameanza kutapeli wakulima wakubwa kwa kuweka subscription kwenye high end tractors maana madude yana hadoi AI, maintance wanafanya wao
wakulima wadogo wakati wanapuliza dawa kwa kutumia pump za mkono, mabepari wanaleta drones.
View: https://www.youtube.com/shorts/Hl1zrP_oCPU
naam hapo ndo umuhimu wa mchina kwenye hii dunia unapokuja kuonekana kwa uwazi kabisaNdo hapo tatizo, wa kukode kwa mkono watakuwa kwenye disadvantage kama hao wakulima wa jembe wengi ni maskini wa kutupa.
Hiyo kutapeliwa na John Deer ndo maana ni muhimu tools zetu ziendelee kuwa open source au open weights ili akina Sam washindwe kutu lock inn hapo ndo model za Mchina zinazidi kuwa muhimu.
Ofcoz lo!
Kuna initiative yoyote bongo kuhost hizi open Weights?Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na mbadala wa bure.
Ingawa kulikuwa na tofauti kubwa kwa upande wa access ya funding na soko kama unataka kutengeneza product za kuuza.
Sass ujio wa AI kwenye software development unaleta tabaka lingine, subscription ya model zinazoongoza duniani yaani za OpenAI, Anthropic etc ni kama $100-$200 kwa mwezi! Tena hii ni bei bandia ambayo wanaitumia kukamata soko "subsidized pricing" ambayo iko chini ya gharama yake, mwishoni itabidi zipande.
Bei hii ni kubwa kwa wengi hata huko Marekani kama wewe hautengenezi hela kwa kutumia AI au ni mtoto, mwanafunzi ni vigumu kulipa $200 kwa mwezi. Huku kwetu ndo kabisa hata $100 ni bei ngumu sana kumudu.
Hii inaleta tatizo jipya kwamba kuna uwezekano mkubwa ni wale wenye $$$ tu wataweza kuwa developers kwenda mbele, hakuna kinachokuzuia kuandika software bila AI ila kiushindani itakuwa vigumu sana.
Kwa hiyo ni muhimu sana kwetu model za Open Weights hasa hizi za Kichina, DeepSeek, Qwen etc ziendelee kupatikana na kuboreshwa, hizi kwanza ni nafuu zaidi pili zinaruhusu kutumika locally kwenye machine yako bila kulipa chochote, kuna tatizo la gharama za hardware hapo ambalo halikwepiki kwa sasa.
Yes, imekuja kama lubricant au catalystSina uhakika kama wewe ni developer.
Ila kwa sisi old school developers nahitaji text editor tu na local server for local development.
Sijaiona AI kuwa kikwazo. Zaidi zaidi kwa msaada wa AI ndio kabisaaa, software ambayo ningeandika kwa miezi 3 naiandika kwa week tu
Exactly, mimi siioni kama tishio.Yes, imekuja kama lubricant au catalyst