Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumuoa binti yake wa kumzaa

atakuwa na laana, ameanzaje mabinti walivyowengi siku hizi kama vile mchanga hata usipojua kutongoza simu tuu na mpesa ya elfu anakuja unaanza kumpa mikosi mtoto ya kutembea na baba yake, nyege gani hizo huyo hayuko vzuri
 
Wamemuonea huyo mtu.

Bongo sheria zinaruhusu kuoa hata 12 years.

Mbona kuna mtu walimuonyesha kwenye tv kule kusini ameoana na mama yake na wanadunda maisha yanasonga.

Kama walikubaliana kuoana shida iko wapi?

Wengine wanoana na dada zao.

Hata wahindi wanaoana mtu na kaka .
 
Sasa huyo mtoto wa miaka kumi na tano ataishije kama baba ake/mumewe ndo kafungwa aka "thate".
 
Hahahaaaa baada ya kutoa huo utetezi ilipaswa hakimu aongeze mingine 30 maaayooo
 
Wamefunga taahira kwa kitendo alichokifanya na utetezi wake huyo jamaa ni mgonjwa wa akili.
Uzuri Isanga na Mirembe si mbali akifika Isanga watajua wamuweke wape kama Isanga au Mirembe akipona atarudishwa panapostahili
 
Tukiachilia mbali swala la kulala na mtoto mdogo huyo..me nadhani hadi mtu aweze kufanya mapenzi na ndugu yake basi hapo kuna tatizo labda sio ndugu yake wa damu kuna figisu zilifanywa na wazazi!!
 
Au masharti ya mganga?
Nisiposema neno nitakuwa sijatenda haki
Kuna matukio mengi sana ya namna hii miaka kama mitatu nyuma ilikuwa haipiti wiki bila kusikia tukio la kinyama kama hili tena kwa watoto wadogo zaidi kumbe ilikuwa ni masharti ya waganga wa kienyeji kwa ajili ya kupata mali na utajiri au bahati na ngekewa
 
Kwani ukifanya biashara unakula mtaji au faida :jamaa moja lilimuuliza hakimu miaka ya tisini kwa kesi kama hiyo

Hilo nalo liilipelekwa Mirembe bila shaka. Swali la kipuuzi kabisa kwenye kesi nzito kama hiyo.
 
Nisiposema neno nitakuwa sijatenda haki
Kuna matukio mengi sana ya namna hii miaka kama mitatu nyuma ilikuwa haipiti wiki bila kusikia tukio la kinyama kama hienyeji kwa ajili ya kupata mali na utajiri au bahati na ngekewa
Mkuu ukipata muda nenda ugugo 'mom son incest in India' halafu ukimaliza uje nchi za Africa zinazotumia English. Yaani unafuta India unaweka hizo nchi. Vitu hivi vipo Sana kwenye jamii ila KIMYA KIMYA.
 
Back
Top Bottom