Ahsate mungu mujini pameanza tena kupendeza

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Ni hivi majuzi tuu mujini hapakuwa magari mazuri , ilikuwa ukipita ni SU STK, tena haya ni kwa hisani ya magufuli aliyebana baadhi ya watumishi kutokwenda makwao, muji ulijaa Magari ya kizamani kama mark 2, corola old model, mapickup ya kizamani, n.k
Ahsante mungu muji umeanza tena kupendeza, wenye muji mumeingia karibuni tena
 
Mods toeni huu ujinga ujinga Wa ukabila hapa, JF si kichaka cha matambiko. Kazi pekee iliyobaki ya makabila ni kutambika tu. (Mwl.J.K. Nyerere)
 
Wacha wivu!!!
Hakuna cha wivu wala nini, hakopeshwi mtu msimu huu.., maana hujafaahamu athari za kisaikolojia za kuruhusu ushenzi Kama huu. Jana kuna ananipigia simu toka moshi eti anaomba nimchangie nauli ya kurudi, kwani mlazimishwa kwenda? Mwingine kakimbia na hela ya watu eti alipungukiwa nauli
 
Sasa kama alikopa watu au umepigiwa simu eti mtu hana nauli sisi inatuhusu nini acha umbea
 
Hakuna cha wivu wala nini, hakopeshwi mtu msimu huu.., maana hujafaahamu athari za kisaikolojia za kuruhusu ushenzi Kama huu. Jana kuna ananipigia simu toka moshi eti anaomba nimchangie nauli ya kurudi, kwani mlazimishwa kwenda? Mwingine kakimbia na hela ya watu eti alipungukiwa nauli
Mbna uko desperate san mkuu?...tuliaa,wifu wa kike hautakusaidia san ktk kipind hiki
 
Ni hivi majuzi tuu mujini hapakuwa magari mazuri , ilikuwa ukipita ni SU STK, tena haya ni kwa hisani ya magufuli aliyebana baadhi ya watumishi kutokwenda makwao, muji ulijaa Magari ya kizamani kama mark 2, corola old model, mapickup ya kizamani, n.k
Ahsante mungu muji umeanza tena kupendeza, wenye muji mumeingia karibuni tena

Labda unazungumzia Kimara huko.....!
 
Ni hivi majuzi tuu mujini hapakuwa magari mazuri , ilikuwa ukipita ni SU STK, tena haya ni kwa hisani ya magufuli aliyebana baadhi ya watumishi kutokwenda makwao, muji ulijaa Magari ya kizamani kama mark 2, corola old model, mapickup ya kizamani, n.k
Ahsante mungu muji umeanza tena kupendeza, wenye muji mumeingia karibuni tena
mkuu itakua unakaa kilungule, njoo Mjini SINZA everyday car are here.
 
Kwani nani hajui? Hao wote wanaoenda huko Kaskazini kula Krismas huwa wanaazima magari makali ya jamaa zao na kwenda nayo huko wakipretend kuwa ni ya kwao na kwamba mjini wana maisha mazuri kumbe kawaida sanaa tu...
 
Wachaga bhana ukabila unawasumbua sana cha kwanza kwao kabila cha pili ukoo(je, wewe masawe,limo,temba,mrema,mbowe au ndessamburo n.k) cha tatu unatokea k/njaro nne dhehebu.Ndio maana Moshi imebaki kuwa kwaajili ya sikukuu tu.
@samsun this is too low for you rafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom