Tupo humu kama yatima,ila mwisho wangu humu baada ya uchaguzi..
Tulioupa huu mtandao umaarufu hatuheshimiwi na mods.
Jf bila makamanda wa cdm usingekuwa na umaarufu.
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.
Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!
Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!
Ahsanteni sana Wana UKAWA!

mkuu we hujitambui... zanzibar kama nchi ina wapiga kura laki 5.... Jf kuwa users kama laki 2, kunanposts zinatolewa hapa zinawekwa kwenye magroup ya whatsap, tweeter, fb etc.... na hata baadhi ya magazeti... mwisho wa siku impact ya jf ni kubwa japo wameaanza udwanzi huu wa mbele kwa mbele na hii itawacost... kuna uwezekano mkubwa sana mwanahalisionline ikachukua nafasi ya jf huko tunako enda....Makamanda gani mnajikunyata kama kuku alielowa??? Hebu ona mnavyolalamika kwa huruma hapa! Hivi kwa akili yenu mnafikiri hapa JF kuna wapiga kura wangapi?
mkuu we hujitambui... zanzibar kama nchi ina wapiga kura laki 5.... Jf kuwa users kama laki 2, kunanposts zinatolewa hapa zinawekwa kwenye magroup ya whatsap, tweeter, fb etc.... na hata baadhi ya magazeti... mwisho wa siku impact ya jf ni kubwa japo wameaanza udwanzi huu wa mbele kwa mbele na hii itawacost... kuna uwezekano mkubwa sana mwanahalisionline ikachukua nafasi ya jf huko tunako enda....
pamoja mkubwa....@Max amepofushwa na umaarufu wa jf, tutafanya maamuzi muda ukifika.
Hivi kuna platform ambayo Ukawa wanatoa michango yao na kujadili mambo yao kama JF kazi sana kuwalidhisha watanzania tumelelewa malezi ya kulalamika na kulialia tu.mm nilianzisha Uzi faster dk 0 ukafutwa
Wana UKAWA tunapata wakati mgumu sana humu JF. Hakuna mwana UKAWA mwenye uhakika na uhai wa uzi wake pindi akianzisha! Nyumba ya jirani muda wao huu kufanya watakalo humu JF.
Pamoja na magumu na yote tunayoyapitia bado tumeendelea kushikamana pamoja kuwapa magamba za uso kwenye nyuzi zao. Naamini tunafanya hivyo ili kuonyesha ulimwengu kuwa kwa sasa watanzania wamefikia kiwango cha mwisho cha uvumilivu kutawaliwa na CCM!
Tulianza na Mungu, na tutamaliza na Mungu!
Ahsanteni sana Wana UKAWA!
Kwani kila post lazima uchangie si upige kimya hapa mabadiliko mwanzo mwishoUkawa bana kila sehemu ni kalalamika tu kama kwenye huu uzi mpo peke yenu lakini kila mmoja anajitia unyonge inachekesha sana.
Jf wamejiaribia sana.ata mim baada ya uchaguzi najitoa mazima.
Punguzeni matusi tu Matusi yako wapi hapo? Ni watu wanaeleza ya moyoni.