mbona hamuwekagi wazi hizo kazi mnazopata humu au ni kuuza mabeseni mtaani
mbona hamuwekagi wazi hizo kazi mnazopata humu au ni kuuza mabeseni mtaani
mbona hamuwekagi wazi hizo kazi mnazopata humu au ni kuuza mabeseni mtaani
Wanajamvi mimi ni mmoja wa watu niliyeamini kazi ni za kujuana tu. Napenda kuwashukuru watu wema wanaoweka matangazo humu. Siku ikifika imefika nimepata kazi nzuri sana kupitia JamiiForum. Mungu ibariki JamiiForum.
Ambao bado msikate tamaa omba tu hata ukiomba kazi kumi kwa siku.Nikisikia nafasi sehemu sitaacha kuweka humu Jamvini.
mkuu kwani kazi ya kuuza mabeseni mtaani sio kazi? kama kulikuwa kuna tangazo la kuuza mabeseni mtaani humu jf na jamaa ameomba kapata na ndio karudi kuishukuru jf na member walipost hilo tangazo, karidhika na alichokipata tusimkatishe tamaa jamani LOL
duuuh,shehe hiyo signature yako!!!,majangaaaaaaaaaa
Wanajamvi mimi ni mmoja wa
watu niliyeamini kazi ni za kujuana tu. Napenda kuwashukuru watu wema
wanaoweka matangazo humu. Siku ikifika imefika nimepata kazi nzuri sana
kupitia JamiiForum. Mungu ibariki JamiiForum.
Ambao bado msikate tamaa omba tu hata ukiomba kazi kumi kwa
siku.Nikisikia nafasi sehemu sitaacha kuweka humu Jamvini.
yani jana nimekereka sana nimekwenda fanya interview na watu wenye kazi na magari wamepaki hapo nje nilikasirika sanaila nilifurahi kujua kwamba ile kazi ilishauzwa siku nyingi laki 4 na mhusika hajaja hata kwenye interview.jamani nyie wenye kazi simtulie tu mbona hivyo!!nimemkutta jamaa mja anafanya kazi bodi ya mikopo nikamwambia kaka tuachie hizi kazi wewe si una kazi nzuri akasema sina peace of mind dah! Nilikasirika sana huu ulafi huu!!sasa uache tamaa na kuendelea ku-apply, ili usiwazibie vijana wenzako....