Amina.
Akubariki na wewe pia. Nimeambiwa na Bagah kuwa Erick alitoroka na glass jana, ni kweli?
Zile za wine trach, mtafute arudishe bana manake sio vizuri.Hah... Loh!
Aina ipi? Zile za Grants,au za dizaini ya wine?
Trach, angebeba moja wala tusingejali manake tungejua ni bahati mbaya...kabeba nne ati...Dah.. Aliondoka na moja au..!
Maana kama ni moja,labda alijisahau na kwenda kumalizia kinywaji ndani ya gari..
Hakuna kingine kilichopungua jamani?
BAGAH aweza kuwa na ripoti za Ericb52
Trach, angebeba moja wala tusingejali manake tungejua ni bahati mbaya...kabeba nne ati...
BAGAH yeye nasikia alikamatwa anatoroka na chupa za biya, alivopewa kichapo ndio akamtaja mwenzie Erickb52...lol. Vijana wabaya sana hawa.
Tuliona tukiwakimbiza 'tutachafuka men'mamaaa...!
Heh.. Judgment je...
Na nyie mlikuwa kama yule "kamata mwizi men.." hata hamuwakimbizi! Lol
Tuliona tukiwakimbiza 'tutachafuka men'
Umeonae? hahahaha! Afu vyangu vilikuwa virefu sana nikaona isiwe tabu...lol!na viatu vya mchuchumio,sipati picha yaani!
Hbr za mwisho wa wiki wanjf wenzangu, poleni na majukumu ya hapa na pale mi nishapoa sasa naelekea kitalani nikapumzike... NI HIVI NAPENDA KUWASHUKURU WANA JF WOTE WALIOSHIRIKI PA1 NAMI JANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KTK CKU YANGU YA KUZALIWA JANA TAR 29/03......MUNGU AWABARIKI SANA.....
Eimen!Hbr za mwisho wa wiki wanjf wenzangu, poleni na majukumu ya hapa na pale mi nishapoa sasa naelekea kitalani nikapumzike... NI HIVI NAPENDA KUWASHUKURU WANA JF WOTE WALIOSHIRIKI PA1 NAMI JANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KTK CKU YANGU YA KUZALIWA JANA TAR 29/03......MUNGU AWABARIKI SANA.....
hii sherehe inaonekana ilikuwa na walevi wengi hongera lakini
Mwache shemeji ako apumzike, ametoka safari...shemeji rudisha poti la mtoto.
Mwache shemeji ako apumzike, ametoka safari...
Swahiba zawadi zipo tena nyingi na wewe utapata...naomba zawadi alizoleta. Au karudi na mavumbi?