aisee kwa maelezo hayo nimemfahamu huyo mama mkwe wako,sasa nakupa onyo kama lengo lako ni kumpotwza huyo mdada plz stop maana ntamweleza huyo mkweo na nitmuonesha uluchoandika hapa,asome kuwa kumbe amemkabidhi mwanae joka
Hadithi nyingine hata Shigongo hawezi kukubali zichapishwe kwenye vijarida vyakeHii ndio MO11 anasema nikadanganye wapi sasa.
Haa🤣😁😃😂Ngoja Kennedy atatoa muongoza kamili
Akili Sasa ImetuliaMiaka hiyo wakati najiunga Jf nilipata tabu sana kwa kuamini kila ninachokisoma. Kwasasa sidanganyiki
Nakutafuta muda sasa
Huko kwingine jf haisomi netwok mkuu.Akili Sasa Imetulia
Humu Kila Mtu Yupo Dar es salaam
Dodoma
Vijijini Hakuna Members
Kuna watu wanasema eti ni chai ya ukwaju sijui mapera.