Ahsante sana mama mkwe

Ahsante sana mama mkwe

Miaka hiyo wakati najiunga Jf nilipata tabu sana kwa kuamini kila ninachokisoma. Kwasasa sidanganyiki


Yote yanatokea Mkuu. Kwa wanaonijua hawawezi pinga post hii
 
Unanisakia wapi huko joka?
Hebu subiri kwanza, kweli na uzee huu umeniita 'manzi' [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]


Hahahaa! Miaka yako kwangu ni kama umepevuka jana tuu.
 
aisee kwa maelezo hayo nimemfahamu huyo mama mkwe wako,sasa nakupa onyo kama lengo lako ni kumpotwza huyo mdada plz stop maana ntamweleza huyo mkweo na nitmuonesha uluchoandika hapa,asome kuwa kumbe amemkabidhi mwanae joka
 
Back
Top Bottom