Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Ahsante sana wanajf kwa kunifariji kipindi chote ambacho nilikuwa nawaza kukosa mkopo baada ya chet cha kuzaliwa kutopeleka RITA hatimaye nimepata na ndoto zangu za kusoma udsm zmetimiaaaaaaa