karibu binam UDSM m ndo namalizia ka asilimia 100 kangu mwakan wa 6Ahsante sana wanajf kwa kunifariji kipindi chote ambacho nilikuwa nawaza kukosa mkopo baada ya chet cha kuzaliwa kutopeleka RITA hatimaye nimepata na ndoto zangu za kusoma udsm zmetimiaaaaaaa
Ahsante sana wanajf kwa kunifariji kipindi chote ambacho nilikuwa nawaza kukosa mkopo baada ya chet cha kuzaliwa kutopeleka RITA hatimaye nimepata na ndoto zangu za kusoma udsm zmetimiaaaaaaa
Jiandae kujua nini maana ya mithali hii: "kukopa arusi kulipa matanga"karibu binam UDSM m ndo namalizia ka asilimia 100 kangu mwakan wa 6
unaenda mazimbu au main campus?Xaiv matumaini ya kwenda SUA yanaanza kurudi! Wale was SUA, mnichek kwa 0743746646 au kna group la whatsap mmoja aniunganishe au tutengeneze jpya!
Unachkua kiasi cha tuition fees ulichopewa na heslb alaf unagawanya kwa ada ya chuo husika kisha unazidisha kwa 100% ndo unapata asilimia ya mkopo uliopewa.Np ukitaka kuangalia wamekupa aslimia ngap unafanyeje maaana naona kama inazingua webu yao
Aiseeh [emoji23][emoji23][emoji125]Hongera sana dogo, imebaki kazi moja tu ya kutafuta demu wa kula nae hilo boom.
Yaaan nazungmzia namna ya kulogin kwenye profileUnachkua kiasi cha tuition fees ulichopewa na heslb alaf unagawanya kwa ada ya chuo husika kisha unazidisha kwa 100% ndo unapata asilimia ya mkopo uliopewa.
Main campusunaenda mazimbu au main campus?