Ahsante John Magufuli kwa kufungua mjadala mpana kuhusu Elimu Tanzania

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu , huu umekuwa ni usemi akihutumia sana Raisi wa awamu ya Tano John Pombe Magufuri,
Sisi kama watanzania tumeona anadhamira ya kweli ya kuwaeleza ukweli watanzania.
Waislam wanasema '' sema ukweli japo ni Uchungu'' Kama Mama mzazi kaua , waambie jeshi la polisi na mamalaka kuwa mama kaua ingawa ni uchungu kumtaja mama mzazi.

Kauli ya Raisi kuwa Ni Tanzania tu ambapo for four fail anasoma degree bila kupitia chekecheo mbalimbali; Na katuonyesha kwa mfano Halisi jinsi binti yake alivyoweza kusoma mpk degree huku akiwa na division four, na kaongea kwa masikitiko bila kificho.

Watu wengi wamekuwa wakipigania na wakililia suala la Elimu. Lakini watunga sera na wabunge ,serikali na mahakama wamekuwa wakipiga danadana.

Zimeanzisha mipango mingi kwa majina mengi
MEM
PED
MEMKWA
Walimu Voda fasta
Vyuo vikuu lazima viweke Degree za ualimu ndo zitapata Loan board; Tumeona Sokoine, Mzumbe , CBE N.k vikisajili Degree za ualimu

Nacte nao kupitia vyuo vya SINONI, EAGLE TRAINING N.k VIMEKUWA VIKIDAILI CHETI CHA KINDERGARDEN

WIZARA KUTUTIA vyuo vya ualimu pia vimekuwa vidahili walimu.
GPA
Division
Kuondolewa masomo ya KILIMO NA BIASHARA
English kufundishwa Darasa la TATU

Tume ya nyalali kuhusu elimu.

Minaona wataalam wakae sasa watengeneze qualification ngazi ya certificate , Diploma na Degree. Bila hizo watakao kosa wapelekwe vyuo vya pyrotechnical.

NAOMBA IUNDWE TUME UHURU YA KUSIMAMIA AJIRA NA ELIMU.

IUNDWE WIZARA YA ELIMU NA AJIRA :
 
Kwakuwa yeye amejipambanua kuwa ni mkweli,basi tunamuomba aje atolee ufafanuzi wa hili kashfa la mtoto wake kuwa kilaza
 
Imebidi nifungue necta nihakikishe majibu ya jesca.Aiseeee kumbe kweli Four ya 30?Kweli bi mdada alikua kilaza.
 
Baba jesca mwalimu wa hesabu inakuaje jesca apate mathematics F?inamaaana mzee alishindwa kabisa?
 
Back
Top Bottom