Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo.
Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani na Ubunge wa Viti Maalum.
Source: TV E