upuuzi...yaani mpk msemeMeneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.
“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.
“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.
Credit - AyoTv
Ita waandishi wa habari umuulize unamuulizia humu wakati yeye ameongea live.Tangu mwaka 2004 enzi hizo kuna kahama United nakumbuka jezi za simba zilikuwa zimeandikwa METL, hebu tunaomba ndugu msemaji utuambie huyo mwekezaji hapo simba yupo tangu mwaka gani? akijibu mniue
yupo humu mbona hata msemaji wa singida FG anaanzishaga nyuzi au wewe ni mgeni hapa jukwaaniIta waandishi wa habari umuulize unamuulizia humu wakati yeye ameongea live.
kwanini humtag ukamuuliza?yupo humu mbona hata msemaji wa singida FG anaanzishaga nyuzi au wewe ni mgeni hapa jukwaani
hii ni forum sio facebook unajua maana ya forum?kwanini humtag ukamuuliza?
Unachokifanya ndo ufacebook wenyewe kuuliza swali hewani huku ukiomba uuwawe usipojibiwa. GT angemtag mhusika amuulize.hii ni forum sio facebook unajua maana ya forum?
Vipi hali ya Ally Kamwe baada ya kuzirai?Hii kima imeongea uharo!
Ngoja jumamosi mashabiki wataikojolea baada ya timu lake kufungwa
Kuna muwekezaji na mdhamini, kipindi hicho unachosema mo alikuwa kama nani simba? Ndio unazungumzia kipindi simba anamtoa bingwa mtetezi huko misri?Tangu mwaka 2004 enzi hizo kuna kahama United nakumbuka jezi za simba zilikuwa zimeandikwa METL, hebu tunaomba ndugu msemaji utuambie huyo mwekezaji hapo simba yupo tangu mwaka gani? akijibu mniue
dah kumbe huyu ni mpumbavu kiasi hiki basi sitaishangilia simbaMeneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.
“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.
“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.
Credit - AyoTv
Ngoja tufike nusu fainali sijui mtaongea nini tena,huo ubabe wa Simba upo wapi?Yaan wanashangilia kuongia robo fainali kama vile wametwaa ubingwa wa CCL, wakati kwa SSC hilo ni jambo la kawaida tu,but kwa wenzetu ni mafanikio makubwa sana. Kweli mbabe wa soka la bongo na Africa ni SSC.