Ahmadinejad says he wants public talks with Obama

Eqlypz

JF-Expert Member
May 24, 2009
4,065
632
Iranian President Mahmoud Ahmadinejad said he wants to engage President Obama in "negotiations" before international media, a semi-official Iranian news outlet reported on Saturday.

Speaking at a meeting of medical school deans, Ahmadinejad said Iran "will soon pursue a new round of diplomatic activity" amid a new position of strength for the Iranian government, the Iranian Student News Agency quotes him as saying.

"I will go to the United Nations and will invite Obama to negotiations," Ahmadinejad said, adding that such talks would be "in front of the international media, not a sit-down behind closed doors in order to talk about matters."

The Obama administration has sought dialogue with Iran but also criticized the government for its handling of unrest after disputed presidential elections.

Last week, Obama said Iran's government must justify itself not in the eyes of the United States, but in the opinion of its own people.

"A sizable percentage of the Iranian people themselves ... consider this election illegitimate," he said at a White House news conference. "It is not too late for the Iranian government to recognize that there is a peaceful path that will lead to stability and prosperity."

Initially, Obama was criticized by Republicans such as Sen. John McCain of Arizona and Sen. Lindsey Graham of South Carolina for taking a "timid and passive" tone in speaking out against the growing wave of arrests, violence and deaths of pro-democracy activists.

Ahmadinejad said he wants others to stop "meddling" in the internal affairs of Iran.

Iranian officials, including Ahmadinejad, claimed nations such as the United States and Britain have meddled in Iranian affairs. Last week, Ahmadinejad said officials were "astonished" over what they called meddling and warned of repercussions if meddling continues.

"Didn't he [Obama] say that he was after change?" Ahmadinejad asked Iranian judiciary officials in a speech last week. "Why did he interfere? Why did he utter remarks irrespective of norms and decorum?"

"They keep saying that they want to hold talks with Iran," Ahmadinejad said. "All right, we have expressed our readiness as well. But is this the correct way [for holding talks]?"

Meanwhile, two major political figures have been meeting family members of those detained amid post-election unrest.

One was former President Ali Akbar Hashemi Rafsanjani -- chief of the Expediency Council and supporter of opposition leader Mir Hussein Moussavi, according to the semi-official Iranian Labor News Agency.

The other was Mehdi Karrubi, one of the opposition candidates, who reportedly paid visits to families of political detainees, according to the Etemad-e-Melli, Karrubi's newspaper.

Meanwhile, the semi-official Fars News Agency reported that 20 people between the ages of 35 to 48 were executed in Iran on Saturday for "buying, selling and holding heroin, cocaine and opium."
 
Iran should not worry about USA. It should focus on building its nuclear energy. USA is no longer super power; is CHINA.
 
Iran is in no position to make demands. Hapa Ahmadinejad is playing a game. He wants to corner the USA. Sasa ikitokea USA ikakubali hizo talks in front og the international media sijui mkulu wa Iran atasema nini. Let's wait and see.
 
Obama does not rule the USA...the debate is ofcourse very interesting if it happens! however, I dought USA to allow that happening for two reasons:-
a) That will be total recognition or admission that Iran is among the powerfull world voices -No jew can allow that to happen-
b) Jews/Republic/ America population will find a USA president amejidhalilisha to Islamic Republic that is unlikely to happen soon...Since Obama wants power and Power strugle in America system is well influenced by jews lobby group who are against any negotiate with Iran...Obama cannot make a power suicide move...(At least he is not that fool) he knows how to get power in America...as for now..wait antagonistic statements..war of words...and so on.
 
Tangia lini USA government ikakubali vitu vya kuweka mambo hadharani? Mawe!
 
Kinachofanyika hapa kwa upande wa USA ni kuonesha kuwa it was ready to engage Iran but Iran was playing dirty games and the solution will be " Bunker Blaster" to their Nuclear sites. Strategy ya kwanza ni kwa USA kuiachia Iraq na sasa kuitumiz kama base ya kuivuruga Iran, pindi Iran itakapoona kuwa sasa hivi wao ni vidume.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=zV_LayjYt3M"][/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=zV_LayjYt3M"]YouTube - Bunker Blaster[/ame]
Khamenei yeye akubali yaishe vinginevyo USA policy yao ni moja awe Dem or Rep president ni kumtandika yule anayetishia maslahi yao na hasa akiwa hana Nuclear weapon.
 
Last edited:
Kinachofanyika hapa kwa upande wa USA ni kuonesha kuwa it was ready to engage Iran but Iran was playing dirty games and the solution will be " Bunker Blaster" to their Nuclear sites. Strategy ya kwanza ni kwa USA kuiachia Iraq na sasa kuitumiz kama base ya kuivuruga Iran, pindi Iran itakapoona kuwa sasa hivi wao ni vidume.

Khamenei yeye akubali yaishe vinginevyo USA policy yao ni moja awe Dem or Rep president ni kumtandika yule anayetishia maslahi yao na hasa akiwa hana Nuclear weapon.
Thubutu...wameshaishiwa sasa hivi "They won't go for war" at leat for now financial crunch hawajamaliza....watasukumwa na Waisrael waende lakini inavyoonekana Obama ana sense kidogo (ubinadamu) na akili siyo kama lile jinga lilopita...kichaka
Waisrael wanataka sana hiyo kuipiga Irani ila wanashindwa kupata kuanzia wapi (station) maana saudia inakuwa ngumu watachukiwa na muslim world. Iraq is not good station kwasababu Missile za Iran zinafika huko kilaani
wataweka base labda Afghanistan ndio maana wana ondoa kwanza uchafu wa talibani lets wait and see!
 
Kinachofanyika hapa kwa upande wa USA ni kuonesha kuwa it was ready to engage Iran but Iran was playing dirty games and the solution will be " Bunker Blaster" to their Nuclear sites. Strategy ya kwanza ni kwa USA kuiachia Iraq na sasa kuitumiz kama base ya kuivuruga Iran, pindi Iran itakapoona kuwa sasa hivi wao ni vidume.

YouTube - Bunker Blaster

Khamenei yeye akubali yaishe vinginevyo USA policy yao ni moja awe Dem or Rep president ni kumtandika yule anayetishia maslahi yao na hasa akiwa hana Nuclear weapon.
ngumu kidogo kwa khamenei ku-surrender..ile move ya kuwagombanisha kwenye election ndio the only best strategy! ujue US ilipigana Proxy war (iraq-iran war) eight years jamaa hawaja-surrender..itakuwa ngumu kusurrender wakati wana missilies za kutosha sana...
 
Wana chezeana tu kuona who will dare throw the first punch. Iran hawawezi kuthubutu kuanzisha vita yoyote na Marekani na Marekani hawawezi kuanzisha vita yoyote na Iran. That's why wote wanajiona wana kifua.
 
Merakani anaweza kuanzisha vita na Irani ila nafikiri wakati ndio bado...lakini dalili ziko karibuni sana kwa wa-Irani wawepo wanaochukia ile system kutoka ndani kama sasa hivi wapinzani siyo wachache inakuwa rahisi ku-change leaders and system..
La pili nafikiri jamaa hawajapata substitute who will be next wakimwondoa huyo jamaa....anaweza kuwa more conservative than ahmnejad??
 
Mkuu nakubaliana na wewe. Marekani anaweza kuanzisha vita ila ninacho sema mimi ni kuwa kwa wakati huu mazingira hayaruhusu. Bado kumbukumbu za Iraq zipo kichwani mwa watu na jinsi walivyo suka uongo kuingia. Marekani anajua kuwa itajiweka wakati mgumu sana kimataifa ikiamua kuingia Iran.

Hilo la pili sina ubishi nalo.
 
Ni kweli..USA kwenda vitani kwa sasa siyo wakati mzuri hasa kiuchumi na public opinion (voters)!!
Lakini kwa sasa Irani itakuwa na wakati mgumu maana uhusiano wake na nchi za EU has germans and France (market kubwa ya mafuta yake) umeanza kuwa mgogoro...kwasababu ya election chaos!
Nasubiri kusikia Ah'jad anapeleka wapi masoko yake mafuta (alternative) may be russia or North korea sijui...lakini wairani wameshazoea econmic sanction na imewasaidia sana kujitegemea ni swala kusibiri na kuona.
 
Tatizo marekani yenyewe ina tegemea mafuta toka nchi za nje. Kuiwekea samction ya mafuta Iran kutayumbisha bei ya mafuta and in the end wata jiponza wenyewe. Ila kama unavyo sema ngoja tuone.
 
Wakuu turudi nyuma siku mbili au tatu,
-Obama alimwambia Putin aweke mambo ya Cold War nyuma na kustrengthen uhusiano na Marekani, Russia wamekubali kupitisha wanajeshi wa US kwao en route to Afghanistan.
-Jana Ahmadinejad katoa tamko la kutaka kuongea na US..
Any connections?
 
Yah, nionavyo mimi rais wa Russia yuko liberal kidogo in the eyes of America lakini Putin (PM) bado bado na cold war kichwani kama vile anahitaji Russia influence....
Nakubaliana ujue Amejad' baada ya kutangazwa matokeo nchi ya kwanza kuenda ni Russia immediately Obama ameanza kuongea na Russia connection obvious ipo kuhusu either issue ya Irani.or North korea??..(Russia ndio ana msaidia Irani technology of course with huge chunk of money ambayo Russia inahitaji!!
Sijui kama wa Russia watasahau cold war kwa muda mfupi hivi....kwa ahadi za Obama
Vyovyote inavykuwa USA ina wakati mgumu kuongoza dunia kwa sasa hasa issue za Iran, North korea na huku China ikizidi kupaa ....kiuchumi
 
Tumaini, Russia na US have been talking way before Ahmadinejad/Obama/Medvedev were elected. After all wateja wa kubwa wa Russian gas ni European Union countries sasa who coughs more money?

Hawa mabwana wakubwa wanakwenda kudiscuss issues ambazo wana interest nazo, swali la kujiuliza Ahmadinejad aliambiwa nini wakati wa trip yake? why suddenly anataka kuongea na Obama?
 
Hiyo kweli inaweza ku-interesting kujua aliaambiwa nini? na russia...kama atakuwa hajahakikishiwa support kutoka Russia ..na uhusiano wake unavyozidi kuwa mbaya na EU hasa gereman na france...Irani itakuwa na wakati mgumu sana...option itakuwa kweli ni kuongea na US...nayo hiyo itamuondolea support kubwa nyumbani maana concervative kule Iran hawataki kusikia habari hiyo..enemity ni kubwa kutokana historia mbaya na uhasama wa muda mrefu...
Options za Irani zinapungua sana lakini huwezi jua jamaa wa uwezo mkubwa sana wa resist..pressure especially (western)..good to see and wait..
 
Back
Top Bottom