Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

Huyu Anaemponda kipa hajacheza mpira nadhani endelea kumwangalia vizuri huyo sio Juma Mhina
 
huyu refa nlikuwa sjamuangalia vizuri tv yangu inachenga kidogo kumbe mwarabu mwenzao baaaaaaaaaaaasssssssss nshapata kisingizio zikifika 5-0
 
huyu ambani kaja hapa misri , anajisifu tu nafikiri huko bongo misifa imemuongeza urefu hana lolote anateleza tu, afadhali halftime........
 
Simba wana historia kule Misri Waarabu wakisikia jina tu Simba mikojo inawatoka lakini Yanga hata khofu hawana wanajua wanapeta kilaini kabisa.

SAHIBA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom