Ahadi za picha za yule kaka

dah haya bana! Nipite mie mwanakwenda
 
unajuaje kama ni zake au kagoogle? usiwe naive na kuamini kila unachokiona vingine ni fiksi mjini hapa...
 
We cheza tu na JF watu wana ukame watakuto....alafu ije igeuke mada humu. Endekeza nye....ge zitakufikisha pabaya
 
Hahhahahahhah chezea shombe shombe eeeh.... Money Stunna njoo huku utamuua mtoto wa watu...

si ange nipm nimtumie album nzima kwa email au akihitaji nitume maphoto zaidi kwenye jf photo naweza sababu najiamin wala simuogopi mtu
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh...
Naona wanaume ndo wabane mapaja siku hizi, lol...manake usipoangalia kila siku utawafikisha wanawake tofauti huko everest!
 
jamani..na wao ni kama sisi.... huwa wana m feel mtu na wanajimalizia wenyewe..just go girl!gudluck ila usipige sana kelele ukatusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…