Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
- Thread starter
- #41
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Watoto Wetu Muda Wa Shule....
Wanafunzi wa shule ya Msingi Mwere iliyopo Manispaa ya Morogoro, wakiwa ndani ya mto Morogoro , baadhi yao na vidumu vya kuchota maji kwa ajili ya matumizi ya kufanyia safi katika vyumba vya madarasa na vyoo shuleni hapo kama walivyokutwa mwishoni mwa wiki.
Hata hivyo mto huo maji yake si salama kutokana na utupaji wa taka za aina mbalimbali na hivyo kuhatarisha afya za wanafunzi hao kupata magonjwa.
Chanzo: http://lukwangule.blogspot.com