Hii ni kauli ya mgombea wa CCM JP Magufuli kufuatia kukasirishwa na mgao huu wa Umeme unaoendelea.
Amesema kama atashindwa kuuzuia huu mgao hawezi kumteua kwenye baraza lake!. Amesema anajua wachache watamchukia lakini wengi watampenda!.
Ameahidi kuwa na baraza dogo lakini effective lenye watu makini!.
JPM ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni Arusha!.
Ajira za umma kupatikana bila mdudu anayeitwa experience!.
Pasco
Dr.Magufuli wa kabla ya kikao cha CC na kabla ya CC ni tofauti kabisa
kwani lowassa alituambia akishindwa uchaguzi atarudi kuchunga ng'ombe wake, je amesharudi?
kuhusu simbachawene; magufuli yaelekea alikua hajui hali halisi lakini baada ya kuelezwa na akina felichisma mramba pale tanesco imebidi abadili muelekeo.
uteuzi wa prof. muhongo kwenye gesi nimemsifu sana magufuli- sasa gesi yetu ipo kwenye mikono salama!