Moja ya ahadi ya Mh. Rais wa Jmt kwenye kampeni za 2010 ni Bajaji 400 za kubebea mama wajawazito pindi wanataka kujifungua na kuwakimbiza Hosp.
Waswahili walisema ahadi ni deni. Je hili deni la Bajaji ameshalilipa? Kama jibu ni bado anategemea kulilipa lini?
Kama ahadi hiyo ndogo tena yakuwadhalilisha mama zetu kashindwa kuitekeleza tutegemee nini juu ya ahadi hizi?
1.Machinga complex Mza
2.Meli kubwa mpya kuliko mv.Bukoba
3.Meli ya kisasa Tabora sijui itapita wapi
4.Uwanja wa ndege Tabora
5....
6.....
7.....
.
.
.
87......
Je ilikuwa ni fiksi yakuingilia Ikulu?
Haoni anamweka mridhi wake pabaya ktk zile mbio za ccm za kupokezana vijiti ambavyo tayari wananchi wameshachoka nazo na sasa wanataka mbio za kupokezana vifaa vya kujenga nyumba za kisasa badala ya nyumba za vijiti?