benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Eti..."Kijana ebu subiri hapo nje" ....weee.wewe? nani atoke nje. Mgonjwa nimlete mimi alafu untoe nje. Anatumia kigezo cha mimi kutokuongea kizungu akidhani sijui ki hivyo , docta nasikia kwa mbali....yaani kuna maneno fulani hivi nikisikia tu nywele zikisimama basi najua hapa naatakiwa. Nikamwambia sitoki dactari hata uite mgambo wa jiji.....kwani ni vipimo gani unamfanyia uyu binti. Kwa kweli niligoma. Sikutoka kabisaa.