Agronomy vs medical laboratory

Agronomy vs medical laboratory

Juma juxx

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
313
Reaction score
150
IPI nzuri apo agronomy at sokoine au medical lab at Kampala university
 
Agronomy ni kilimo na med lab ni mambo ya afya...so ni vitu viwili tofauti ambavyo huwez kuviweka pamoja...we chagua career which best feet you....kama ww lengo lako ni kutokukaa mtaani na kuwahi kuaajiriwa couz za kilimo zina ajira nyingi sana...kuanzia halmashauri...wizarani mpaka kwenye taasisi
 
Ahsante mkuu shujrani,,,,, though navutuwa sana na medical ingawa ufaulu wangu unaniruusu kuingia Kampala sasa cjui kama chuo kinauhakika baadae after masomo
 
Medical Lab ni nzuri,ajira zake za uhakika,part time ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom