Agricultural Engineers wanafanya kazi gani?

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
549
Reaction score
801
Ningependa kujua Hawa watu,( watajwa hapo juu) wanafanya kazi gani na vituo vyao vya kazi
 
Inafanana kiasi kikubwa na structural na civil engineering. Mtaani nawaona wanafanya kazi za structural engineer sana
 
Inafanana na mechanical engineering ila wao wana dili sana na mashine za kilimo kama matrekta n.k!! Wanapatika sekta za kilimo kwa ujumla na skimu za umwagiliaji!!
 
Inafanana kiasi kikubwa na structural na civil engineering. Mtaani nawaona wanafanya kazi za structural engineer sana
Agric engineer hafanani na mtu wa structural... Mhandisi wa kilimo anasoma sana mitambo na mashine za kilimo. Naweza sema anafanana na mechanical engineer ila sio structural!
 
Mkuu naongea kutokana na observation niionayo huku kazini, some of my staff mates wamesoma hiyo kitu. Mitambo yes wanasoma but kudesign miundombinu ya majengo, mabwawa, irrigation schemes etc ndiyo wanachofanya huku
 
Back
Top Bottom