Agosti ya kukumbukwa

Agosti ya kukumbukwa

😂😂😂
HQk8NdxWUAAauQp.jpg
 
Kuna sinema nyingi zinakuja
binafsi nasubiri hiyo moja tu, sihangaishwi kabisa na hizi za kuanza kunogesha 'show' halisi.

Naisubiri kwa hamu kubwa hiyo sinema yenyewe badala ya haya ma-'trailer'!

Sinema ni lazima ipande tu, huwezi kuonyesha ma-'trailer' halafu uwaache watazamaji bila ya sinema waliyoitarajia kuiona.
 
Long and short terms trending

Kiwanda cha kupika habari

Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi

Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia kumbe lilikuwa linaiva taratibu..
Sasa linatumbuka.. Acha kabisa huo usaha wake utakavyoruka mbali.. Utawapata waliomo na wasiokuwepo

Kama shindano la mtoano.. Nitoe nikutoe.. Mtoe tukutoe🤣..! Haina comeback hii.. Nimwagie povu nikumwagie tope
Ukiona kichuguu tambua kuna mchwa.. Ukiona mchwa jua kuna malikia na walinzi wake.. Malikia tipwatipwa kunya kulala

Nifitini nikufitini.. Nipige kulia nikipige kushoto.. Kama kucheka ni kwa zamu basi hata kulia pia..!

Ni kipindi cha kung'oa magugu na miti isiyozaa.. Ila kama ni zilezile bongo movie basi this time wametupata.. Na huyo director apokee minyota yakwe
Kesho kinang'oka kisiki kingine and very soon Mbuyu!View attachment 3656815
The puppets have seen their game is not wisely played by their players..

Au sio Mshana Jr
 
Kwa bahati mbaya kishasema mwenyewe kwamba "ataendelea kuwa raia mwema wa Tanzania". Whatever that means!

Kuwa raia mwema wa Tanzania, kwa tafsiri ya barua yake mwenyewe ni pamoja na "kumsaidia...." huyo aliyekuwa akimtukuza na kumsaidia kufanya kazi za uovu kwa waTanzania.

Nchimbi hakujuwa alichokuwa anafanya. He is totally confused!
 
Nasikia hiki kifo kina connection kubwa na uhai wake
IMG-20260825-WA0052.jpg
 
Nasikia hiki kifo kina connection kubwa na uhai wak
I am avoiding to go into that on purpose.

Ndugu wa marehemu wamechukuwa hatua kujuwa kwa uhakka kilichosababisha kifo cha ndugu yao?

Otherwise, that's collateral damage, very unfortunately.
 
Ndugai
Mc Pilipili
 
Long and short terms trending

Kiwanda cha kupika habari

Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi

Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia kumbe lilikuwa linaiva taratibu..
Sasa linatumbuka.. Acha kabisa huo usaha wake utakavyoruka mbali.. Utawapata waliomo na wasiokuwepo

Kama shindano la mtoano.. Nitoe nikutoe.. Mtoe tukutoe🤣..! Haina comeback hii.. Nimwagie povu nikumwagie tope
Ukiona kichuguu tambua kuna mchwa.. Ukiona mchwa jua kuna malikia na walinzi wake.. Malikia tipwatipwa kunya kulala

Nifitini nikufitini.. Nipige kulia nikipige kushoto.. Kama kucheka ni kwa zamu basi hata kulia pia..!

Ni kipindi cha kung'oa magugu na miti isiyozaa.. Ila kama ni zilezile bongo movie basi this time wametupata.. Na huyo director apokee minyota yakwe
Kesho kinang'oka kisiki kingine and very soon Mbuyu!View attachment 3656815
Na ikumbukwe Oct turememba ina load,,,😭😭
 
Back
Top Bottom